Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI

$
0
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alielazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili   leo January 1, 2016. Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake
PICHA NA IKULU


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles