Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

SHANGWE ZA UZINDUZI WA COPA UMISSETA ZANZIBAR Yahoo / Inbox

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Ayoub Mohamed Mahmod akipokea zawadi ya mpira wa kufanyia mazoezi kutoka Coca-Cola baada ya hafla ya uzinduzi. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghribi, Ayoub Mohamed Mahmod (wa tatu kulia) akikabidhi jezi na mpira kwa mwalimu Mussa Abdi Khamis wa shule ya sekondari ya penae. Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud, akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano ya Copa UMISSETA. Moja ya timu ikikaguliwa wakati wa uzinduzi huo. Wananchi wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi. --

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles