hili ndo daraja lililoharibika
Daraja la mbao limetengenezwa kwa muda ili wakazi hao wapate kupita
Wakazi wakipita kwenye daraja la muda daraja hilo ni wapita kwa miguu hakuna pikipiki wala kibajaji hata gari haipiti
Waendesha bodaboda wakisubiri abiria wanaotoka ulongoni kwenda gongo la mboto
Bodaboda wakisubiri abiria huku wasafiri wakiwa katika foleni ya kupita
HIVI NDIO HALI HALISI YA DARAJA LILILOBOMOKA AMBALO NI KIUNGO MUHIMU KATIKA YA GONGO LA MBOTO NA KARIAKOO NA KURUDI KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU |