Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates Bw. Rodger Voorhies kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Kilimani mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)