Taasisi ya mafunzo ya program ya kulea na kuongoza vijana wa kike katika uongozi 2018 GTI Imezindua mpango mkakati malum na dira ya chemchem ya kumkomboa mwanamke kupitia mafunzo yenye tuja na kujenga uwezo wa GTI ni kama tanuru la kupika viongozi wanamapinduzi wanaoamini latika uongozi shirikishi ,ageuzi ya mifumo kandamizi ili kuleta maendekeo endekevu uzinduzi huo ulifanyika leo