$ 0 0 mti ulioanguka katika makutano ya barabara ya kongo na Tandamti unaleta kero baada ya watu kupita chini ya mti na magari kutopita jinsi watu wanavyopita kwa taabu